JINA LA KITABU: MWANANGU MPENDWAJINA LA MWANDISHI: BUPE BERRUMSMWAKA WA KUCHAPISHWA: 2023KUHUSU KITABUKitabu cha Mwanangu Mpendwa ni barua ya mama Kwenda kwa mtoto wa kiume yenye lengo la kumsaidia mtoto huyu katika kipindi cha mpito kutoka utotoni kuelekea utu uzimani, anapokabiliana na mabadiliko mbalimbali ya kimwili, kihisia n.k, kitamsaidia kupata majibu ya maswali mbalimbali anayopata na pia kuwa kama mwongozo kwenye Maisha yake pale anapohitaji neno la mzazi/mlezi ukizingatia wengi ktika umri huu wapo shuleni mbali na wazazi/walezi wao. Download There have been no reviews for this product yet.








