KUHUSU KITABU:Utajiri wa Mwamini ni kitabu kinachoangazia matokeo ya kazi kamilifu ya Kristo Yesu kwa mwamini. Utambulisho na umiliki wa mwamini katika Kristo ni mambo yanayoongelewa katika kitabu hiki, zaidi pia kile Mungu anatenda ndani na kupitia mwaminiMWANDISHI: FELICIAN MAKARIOS PHOS, TANZANIASENIOR PASTOR, KAINOS CREATION CHURCH Download There have been no reviews for this product yet.








